| Aina ya faili | APK |
|---|---|
| Toleo | 81 |
| Mchapishaji | |
| Tarehe ya kutolewa | 14 Des 2017 |
| Tarehe iliyoongezwa | 14 Des 2017 |
| Mahitaji ya Os | Android |
| Mahitaji | Android 4.1 |
| Jumla ya vipakuliwa | 143 |
| Vipakuzi kwa wiki | 3 |
| Bei | Free |
Maelezo
Ramani za Google Go, toleo jepesi zaidi la programu asili ya Ramani za Google. Imeundwa ili kufanya kazi kwa urahisi kwenye vifaa vilivyo na kumbukumbu ndogo na kwenye mitandao isiyotegemewa bila kuathiri kasi ili kutoa eneo lako, masasisho ya wakati halisi ya trafiki, maelekezo na maelezo ya treni, basi na usafiri wa jiji. Unaweza hata kutafuta na kupata maelezo kuhusu mamilioni ya maeneo, kama vile nambari za simu na anwani.