| Aina ya faili | APK |
|---|---|
| Toleo | 1.0.0 |
| Mchapishaji | Jigsaw Operations |
| Tarehe ya kutolewa | 3 Okt 2018 |
| Tarehe iliyoongezwa | 3 Okt 2018 |
| Mahitaji ya Os | Android |
| Mahitaji | Requires Android 4.0 and up. |
| Jumla ya vipakuliwa | 57 |
| Bei | Free |
Maelezo
Intra hukulinda dhidi ya upotoshaji wa DNS, aina ya mashambulizi ya mtandaoni yanayotumiwa kuzuia ufikiaji wa tovuti za habari, mifumo ya mitandao ya kijamii na programu za kutuma ujumbe. Intra pia husaidia kukulinda dhidi ya hadaa na programu hasidi. Ni rahisi kwa mtu yeyote kutumia -- pakua tu programu na uanze baada ya sekunde chache. Unaweza kuiacha na kuisahau.
Jifunze zaidi katika https://getintra.org/.
Vipengele
Ufikiaji bila malipo kwa tovuti na programu zilizozuiwa na upotoshaji wa DNS
Hakuna vikwazo kwa matumizi ya data na haitapunguza kasi ya muunganisho wako wa intaneti
Chanzo wazi
Weka maelezo yako kuwa ya faragha - Intra haifuatilii programu unazotumia au tovuti unazotembelea
Geuza kukufaa mtoa huduma wako wa seva ya DNS -- tumia yako mwenyewe au uchague kutoka kwa watoa huduma maarufu